Huu ndio ule urembo wa asili ya kimakonde kuchanja chale
Huu ndio ule urembo wa kidunia nzima (kisasa) Tattoos
Wamakonde zamani walikuwa wanachanja sura zao au baadhi ya sehemu ya mwili,Japokuwa kasi hiyo imepungua sana kutokana na kizazi kipya hakifanyi uchanjaji wa chale tena,Bali kizazi kipya kimebobea kwenye uchoraji wa tattoos kwani umekuwa ni urembo wa dunia nzima (kisasa).swali kwa wadau kunatofauti gani kati ya chale za mmakonde na tattoos za kisasa? na kati ya wamakonde na wachoraji tattoos nani alianza? jibu kwako mdau!!!!!!
Duuhh dadake leo umenikumbusha mbali sana, hivi wamakonde sijui wapo?swali juu ya swali tehethete, sijawaona miaka mingi sana.
ReplyDelete