Tuesday 17 April 2012

MTUNGAJI WA UTENZI WA MAAFA YA MV.SPICE J2WISDOM INAKUPA PONGEZI KUBWA SANA NA MWENYEZI MUNGU AKUZIDISHIE!!!


Mungu akuzidishie mtunzi wa huu utenzi kwa hisia za maafa pia kutukumbusha kama kheri na shari zote mwenyezimungu anazijua, na yeye ndiye anayejua nyuma na mbele kuna nini? pongezi kubwa sana zikufikie popote pale ulipo, wadauuu ambao hamjawahi kusikiliza  usikilizeni huu UTENZI ULIVYAJAA MACHUNGU NA MANJOZI!!!!

No comments:

Post a Comment