Friday 15 June 2012

TULIKUPENDA SANA ILA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI "MTOTO RUKIA AAGA DUNIA"



Habari za kusikitisha za mtoto Rukia ameaga dunia jana jioni majira ya 12:45 katika hospitali ya ST WALBURG NYANGAO,alipata malaria na madaktari walifanya juhudi ya kuweza kumponya ila mungu akaamu kumchukua Rukia akapmuzike,VICTOR RICHARD anashughulikia kutoa mwili wa marehemu kwenda kuzika.Mkurugenzi mtendaji  wilaya ya RUANGWA amethibitisha kutoa gari la wagonjwa kwenda kubeba mwili wa marehemu.Shukrani za dhati ziwafikie waungwana walioweza kuchanga kwa njia moja au nyingine kuokoa maisha ya rukia,vyombo vya habari,wauguzi wa wa hosptali ta St Walburg Nyangao bila kuwasahau aliokuwa wakimkumbuka Rukia kwa SALA na DUA,MWENYENZI MUNGU AWAPE NGUVU WAZAZI,NDUGU NA MAJAMAA katika kipindi hiki kigumu.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,APUMZIKE KWA AMANI.

No comments:

Post a Comment