Friday, 14 September 2012

AUNT EZEKIEL: NIMEAIBIKA SANA, NAJUTA


MSANII wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema kuwa anajutia matukio ya aibu aliyoyafanya hivi karibuni ya kuanika nyeti zake hadharani kwani yamemfanya ajishushie heshima.
Akizungumza na Ijumaa, Aunt alisema kitendo cha kupanda jukwaani na kucheza kihasara kiasi cha kuonesha sehemu zake nyeti akiwa mkoani Tanga na Mwanza kwenye Tamasha la Fiesta kilisababishwa na pombe alizokuwa amegida.“Kwa kweli zilikuwa ni pombe tu, najuta lakini naamini hali ile haitajirudia tena,” alisema Aunt.
Akizungumzia madai kwamba alipokuwa jukwaani mkoani Mwanza alijikojolea na kuifanya nguo aliyoivaa iloe, Aunt alisema:
“Nimeshangaa kudaiwa kuwa nilijikojolea, ukweli ni kwamba siku
fanya hivyo, nilianguka nikakalia maji ndiyo maana ikawa vile.”
chanzo:http://www.globalpublishers.info

No comments:

Post a Comment