Tuesday, 18 September 2012

UJERUMANI KUMZUIA MHUBIRI WA KIKRISTO


Kasisi Terry Jones, anayesifika kwa vitisho vyake vya kuiteketeza Quran nchini Marekani, amealikwa kuhutubia mikutano kadhaa za mashirika ya watu wenye siasa kali.
Bi Merkel alisema kuwa ikiwa mpango wake utafanikiwa hatapewa visa kuingia nchini humo.
Bwana Jones amesema kuwa anaunga mkono filamu iliyozua kero miongoni mwa waisilamu kote duniani hasa Mashariki ya Kati.
Mwandishi wa BBC mjini Berlin, anasema kuwa makundi yenye siasa kali nchini Ujerumani ambayo yamemwalika, yanataka kuionyesha filamu hiyo hadharani
chanzo:bbc

No comments:

Post a Comment