Thursday 3 October 2013

Kichaa ageuza kinyesi kuwa silaha, awatishia watu wampe pesa!!!!




 

Hivi ndivyo jinsi kichaa akiwa  amebebama  kinyesi kwenye mfuko na kingine amejipaka kama silaha ya kuwatishia watu  na kuwasumbua wampatie hela  .Ikawa kizazaa maeneo ya Shule ya Uhuru Kariakoo.
chanzo  cha habari:  Bwana Victor Richard

No comments:

Post a Comment