“Hii imetokea kwa jamaa mmoja Mkenya ambaye ana mazoea ya kushirikisha marafiki zake masuala ya nyumbani kwake ili apate ushauri.
Huyu jamaa ana mke wake ni Mtanzania na wana mtoto mmoja. Kilichotokea kimeshangaza majirani. Kuna siku mdogo wa mke wake alikuja kuishi nao. Na binti huyo ni wale wadada wenye umbo namba 8 mcheshi na amemzoea sana mume wa dada yake kiasi kwamba shemeji yake akirudi toka ofisini huwa anamchumu (busu) mbele ya dada yake.
Mbaya zaidi ikitokea hajamchumu yule shemeji(bibie) huwa anamwambia dada yake kulikoni shem hajanibusu? Hivyo dada anamwambia mumewe hata kama ni muda wa kulala anaingia chumbani kwa shem(bibie) na kumkisi afurahi…
Kilichoendelea sasa jamaa akawa akienda kumchumu na huwa haishii kumchumu tu maana shem huwa anataka amguse hapa mara hapa inafikia shem analainika…. Kisha jamaa anatoka anarudi kwa mkewe ambaye naye hahoji wanaendelea kulala na mumewe kwa kujua kuwa mdogo wake ni mcheshi tu hakuna cha ziada.
Jamaa katika kusimulia akasema siku moja shem alimwambia kesho akiingia aje na mpira. Jamaa kweli akachukua na baada ya kumaliza kazi yake kurudi chumbani mkewe akamwambia kuwa amemuona alivyochukua mpira.
Kilichofuata mke wake akamwambia kuwa anajua anampenda mdogo wake ila ahakikishe awe anatumia mpira. . Basi jamaa akawa kama ameruhusiwa humo ndani.
Basi mke wake akamwambia walale wote watatu kitanda kimoja ila asimguse yoyote. Ama kweli Maisha Ndivyo Yalivyo. Yaani nyumba zetu zimeficha mengi jamani siku hizi. Yule shemeji alipata kazi mkoa ndiyo amehama walale wote watatu kitanda kimoja ila asimguse yoyote.
chanzo:Nipashe
No comments:
Post a Comment