Wednesday, 20 November 2013
Wawili wauwa kwa kupigwa risasi na muuji kujiua hapo hapo.
Muonekano wa gari
damu zikiwa zimetapakaa
Mtu mmoja ambaye bado hajafahamika jina, amewaua watu wawili kwa kuwapiga risasi ndani ya gari aina yaToyota Hilux Surf na kujeruhi mmoja kisha naye akajiua kwa kujipiga risasi asubuhi ya leo, jirani na Baa ya Wazee iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam.
chanzo:.globalpublishers
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment