Saturday, 12 July 2014

‘Shaa’ au ‘Malkia wa Uswazi’ alitamani kuimba taarabu!

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Sara Kaisi ‘Shaa’ au ‘Malkia wa Uswazi’ amesema alitamani kuimba taarabu kabla ya kusambaza kazi yake ya ‘Sugua gaga’ ambayo inafanya vizuri katika tasnia ya muziki huo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Shaa alisema anapenda sana nyimbo za taarab na hivi sasa kuna wimbo anaandaa ambao ataimba kama taarab.
“Napenda sana taarab, wakati natao sugua gaga nilitaka uwe kama taarab lakini nikasahauriwa hautapendeza lakini sasa wimbo unaofuata utawa ni taarabu,” aliandika nyota huyo.
chanzo:tanzania daima

No comments:

Post a Comment