Wednesday, 27 April 2011

Mkutano wa Upendo Society Sheffield UK

Wanachama wa upendo Society wakichangiana mawazo huko Sheffield
Birthday Surprise party wana upendo society wawili..Keki ikiwa anatarajiwa kuwasirishwa  
Kijana Fab Lucious akiwa anapop champagne ya Birthday
 Wanachama wetu wakiwa wanaka keki
 Wana upendo society wakiwa wanasheherekea moja ya zawadi walizokuwa wakipokea kutoka kwa wanacham wenza
Siku ya mwisho ya mkutano, wanachama wakiwa waajiaanda kuondoka wengine wakielekea London

No comments:

Post a Comment