Saturday, 11 June 2011

ALIKWENDA KAMA BHOKE NA SI MWAKILISHI WA TANZANIA!!!!!!!!!!!!!!



Mshiriki wa Tanzania katika jumba la BBA mwaka huu, Bhoke Egina aliwaambia waandishi wa habari jana asubuhi katika hoteli ya southen Sun jijini Dar es Salaam, kwamba alipokwenda ndani ya jumba hilo hakutumwa na Watanzania, hivyo watoe mawazo ya kwamba alikwenda kuiwakilisha nchi. "Watanzania wanapaswa kujua kwamba kwenda kwangu kushiriki katika jumba hilo sikutumwa na Watanzania hivyo nilienda mimi kama Bhoke na sikuiwakilisha Tanzania...........".

Maneno hayo aliyatoa baada ya kuona watanzania wanamzungumzia sana kwa kitendo chake cha kufanya mapenzi live na mshiriki mwenzake toka nchini Uganda Ernest ndani ya jumba hilo ambaye naye alitolewa siku hiyo hiyo.

WATANZANIA HABARI NDO HIYO

No comments:

Post a Comment