Friday, 3 June 2011

MTOTO MREMBO NA MWENYE VIPAJI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!






SHANTAL COBBY mwenye umri  wa miaka 9 ni mwanafunzi mwenye malengo ya kuwa star siku moja,anaishi MILTON KEYNES UK. Anapenda kuimba  na stlying pia ni dancer.Mwanamziki anayempenda ni Alikiba na anatamani siku moja kuimba nae. TUMSUPPORT ILI  AWEZE KUTIMIZA MALENGO YAKE.
                   
                                                               GOD BLESS SHANTAL

5 comments:

  1. WoW..Keep it up Chantal...Nafurahi kuona mtoto mdogo anapenda waimbaji wa kutoka nyumbani...keep it up once again..wazungu wanasema ¬ Charity start at home....ukipata unapata na watu wako wa nyumbani halafu ndio uwagawie hao wazungu,....Mungu akubariki ,,nyota yako na iwe..Amin...

    ReplyDelete
  2. keep it up Chantal...Inafurahisha sana kuona mtoto mdogo aliyezaliwa nchi za ng`mbo anampenda mtanzania na kufurahia nyimbo zake......honest wazungu wanasema `Charity starts at home..nimeamini ....Akiwastar hataki kula mbali na ndugu zake...Keep it up Chantal...nyota itafunguka na utakuwa katika mazingira ya nyota yako...Mungu akujalia na akukuze katika mazingira ya adabu na heshima...Kwani respect, determination and believes are the the keys of foundation. everything......

    ReplyDelete
  3. keep it up Chantal...Inafurahisha sana kuona mtoto mdogo aliyezaliwa nchi za ng`mbo anampenda mtanzania na kufurahia nyimbo zake......honest wazungu wanasema `Charity starts at home..nimeamini ....Akiwastar hataki kula mbali na ndugu zake...Keep it up Chantal...nyota itafunguka na utakuwa katika mazingira ya nyota yako...Mungu akujalia na akukuze katika mazingira ya adabu na heshima...Kwani respect, determination and believes are the the keys of foundation. everything......

    ReplyDelete
  4. Good start girl and keep it up utafikia ndoto zako. na nimefurahi pia kuona unawapenda wabongo wanzako. Wito kwa wazazi wa Shantel mjitahidi kumlea kwenye maadili yenye heshima na adabu maana watoto wengi wakishajua wamekua masuper star ndio wanachanganyikiwa kabisa... So go girl and God bless u always.

    your friend from TZ.

    ReplyDelete
  5. All the best beautiful Chantal and you are already a star. God bless

    ReplyDelete