Wanariadha watakaoshiriki mashindano ya riadha ya Kanda ya Afrika, kutoka nchini Rwanda, wakiwa katika mazoezi ya maandalizi ya michuano hiyo, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Kutoka Kushoto ni Kayaga Robert na Pontician Ntawudirushintege.
No comments:
Post a Comment