Friday, 3 June 2011

MSAADA KWA ABIRIA


Baadhi ya abiria wakilazimika kupanda daladala kwa kutumia mlango wa dereva kutokana na shida ya usafiri kama walivyokutwa katika kituo cha daladala cha Posta Mpya jijini Dar es Salaam hivi karibuni..

No comments:

Post a Comment