Mshindi wa shindano la kumsaka mrembo wa elimu ya juu mkoani Morogoro, Neema Macha, akiwa ameketi katika kiti cha enzi baada ya kuibuka mshindi katika shindano lililofanyika mjini Morogoro hivi karibuni. Kulia ni mshindi wa pili, Neema Mbwana, na mshindi wa tatu, Hadija Ogola.
No comments:
Post a Comment