Wednesday, 15 June 2011

MWASITI SASA KIASILI ZAIDI.


BAADA ya kutamba sana na nyimbo za mapenzi, msanii wa muziki wa bongo fleva, Mwasiti Almas ameamua kubadili mtindo wake wa uimbaji.
Mwimbaji huyo wa ‘Siyo Kisa Pombe’, ‘Hao’, ‘Nalivua Pendo’ na nyinginezo, alisema kwa sasa atapiga nyimbo zake katika mitindo yenye asili ya Kitanzania kama ilivyo kwa msanii Wanne Star.
Pamoja na hilo, Mwasiti alisema muziki huo utachanganywa na midundo ya kisasa.
mwisho.

No comments:

Post a Comment