Thursday, 23 June 2011

US FIRST LADY AKIWA SOUTH AFRICA



                      NELSON MANDELA NA MICHELE OBAMA,MALIA NA SASHA
Us first lady michele obama akiwa  south africa june 20 katka mwanzo ziala yake sub sahara africa akiwa amefuatana na watoto wake malia na sasha.Madhumuni ya ziara yake kupromote YOUTH LEADERSHIP,EDUCATION,HIV/AIDS PREVENTION PROGRAME NA KUTEMBELEA NELSON MANDELA FOUNDATION.

No comments:

Post a Comment