Monday, 12 March 2012
KWANINI KILA PANDE ZA DUNIA ANAPOKAA MTU MWEUSI LAZIMA MAZINGIRA HAYA YAPO?
Kila pembe za dunia lazima ukutane na mazingira ya umaskini na kama sio umaskini uchafu swala ili nimejiuliza,hata kwenye nchi zilizoendelea lazima sehemu waliojazana weusi utakuta mazingira yana utofauti kidogo na sehemu jingine wadau mlio nje jaribuni kuchunguza mtaona tofauti,tukiongelea Africa tutasema ni umaskini je kwenye nchi za watu waliondelea tutasema ni umaskini? picha za hapo juu za PORT-AU-PRINCE, HAITI ni nchi ambayo sio africa lakini hayo mazingira kama Africa.WADAUZZZ MTAZAMO WENU PLEASE DUNIA KUELIMISHANA!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
umaskini ila sio wastarabu
ReplyDelete