Monday, 6 June 2011

UBINGWA WA KUOGELEA


Baadhi ya washiriki wa mashindano ya kuogelea ya Klabu Bingwa Tanzania 2011, wakichumpa kwa kuanza kuchuana katika mashindano hayo ya mita 200, yanayofanyika Funky Obitz, Masaki jijini Dar es Salaam, ambayo yamedhaminiwa na kudhaminiwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment