Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto), akiwasili katika Viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Watu wa Kongo jijini Brazzaville,ambako anahudhuria Mkutano wa Tatu wa Nchi za Tropiki, zilizo katika ukanda wenye misitu mikubwa na mvua nyingi, ambao pia umehudhuliwa na viongozi mbalimbali kutoka katika nchi zaidi ya 30 zilizo katika ukanda huo.
No comments:
Post a Comment