Saturday, 2 July 2011

BILL GATE AMEAIDI KUISAIDIA TANZANIA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 Billionea wa Kimarekani Bill Gates na mwenyekiti wa kampuni tanzu ya "Microsoft Corporation" ametembelea mbuga ya wanyama "Serengeti National Park", mbuga inayo sifika kwa ukubwa na kua wanyama ambao hawapatikani sehemu nyingine yeyote duniani. Katika ziara hiyo billionea huyo wa Kimalekani aliongozana na mkewe Melinda kuja kujionea maajabu ya mbuga ya Serengeti pamoja na vivutio vingine vilivyo ndani ya mbuga hiyo.
Pamoja kua ziarani Bill Gates na mkewe walikua wakalimu na wenye furaha wakati wote hasa kwa wanakijiji walio karibu na mbuga hiyo mashuhuri duniani.

Foundation ya Bill na Mellinda Gates imeahidi kuisaidia Tanzania katika tafiti mbali mbali hasa zinazo husiana na maswala ya afya na kilimo imefahamika.
Foundation hiyo chini ya Mwenyekiti wake mtendaji, Bill Gates ilitabainisha hayo pale walipo mtembelea Rais Jakaya Kikwete Ikulu Dar es salaam jumanne, 28.
Kutokana na msaada huo, msaidizi wa Rais Mr.Premmy Kibanga aliishukuru Foundation hiyo kwa msaada ambao umezamilia kutatua matatizo makubwa yanayo ikabili sekta ya Afya na Kilimo.

No comments:

Post a Comment