Thursday, 12 January 2012

BURIANI MZEEE KIPARA!!!!!!!!!!!!!

Msanii mkongwe nchini Tanzaia anayefahamika kwa jina mzee Kipara, amefariki jana na wanategemea kumzika leo jijini Dar es Salaam.
Mzee huyo alivuma sana kwa ustadi wake wa kuigiza katika runinga akiwa na vikundi mbalimbali likiwemo kundi la Kaole ambako alifanya vitu vikubwa sana.
Kwa kweli daima tutakukumbuka kwa mchango wako wa kufundisha na kuionya jamii kwa kupiti maigizo.
Mungu ailaze roho ya marehemu mzee wetu mahalipema peponi, AMINA

No comments:

Post a Comment