" KHERI KUWA MBWA ULAYA KULIKO........."! JE USEMI HUU UNA MAANA GANI?
INAPENDEZA SANA KUONA MNYAMA ANAHUDUMIWA VIZURI KAMA BINADAMU HASA KATIKA NCHI ZINAZOJALI HAKI ZA WANYAMA, NA VILE VILE INASIKITISHA KUONA BINADAMU ANAKUFA KWA NJAA AU SIKU MZIMA HAJAPATA CHAKULA NA WALA HAJUI SIKU ITAISHAJE.HII ILIKUWA THANKSGIVING FEAST AT SAN FRANCISCO ZOO U.S,A
No comments:
Post a Comment