KATIKA MILA NYINGI ZA KIAFRIKA MWANAMKE ANAPOTALAJIA KUOLEWA AKINAMAMA UMUWANDAA KWA MAFUNZO YA AINA MBALIMBALI(KITCHEN PARTY),YAKIWEMO UVUMILIVU,VITU MWANAUME ANAVYOPENDA,BUSARA N.K LAKINI ASILIMIA KUBWA MWANUME HAPEWI MAFUNZO YA KUMWAANDA JINSI KUISHI NA MKE.
MUME NA MKE NI WATU WAWILI WAMETOKA KWENYE FAMILIA MBILI TOFAUTI NA MALEZI TOFAUTI NDIPO KUNA SWALA KUBWA LA HAYA MAFUNZO.
SWALI KWA WADAU
KWANINI WANAUME HAWAPEWI MAFUNZO(KUANDALIWA JINSI YA KUISHI NA MKE)
JE KUNA UMUHIMU MWANAUME KUPEWA MAFUNZO(KUANDALIWA JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE?AU WANAUME WALISHAPEWA UWEZO HUO NA MUUMBA?
MDAU MAONI YAKO MUHIMU SANA
DUNIA NI KUJIFUNZA NA AKILI NI NYWELE KILA MTU ANA ZAKE!!
wanaume watujibie swali,MDAU
ReplyDeleteyaani niko interest na hii mada maana wanao haribu ndani most of them ni wanaume kwa kutokujua wanatakiwa wafanye nini kwa wanawake zao kuachana na kuweka pesa ya matumizi
ReplyDelete