Diamond atumbuiza mashabiki kwa viboko!
Ampiga mwandishi na kuharibu kamera yake.
Msanii diamond alijikuta akishikiwa fimbo na mashabiki wa muziki ili atumbuize huko mkoani Iringa kwa madai kwamba msanii huyo alichelewa kufika uwanjani alafu alitaka kuwazingua kwa kukataa kuimba kwa sababu wenye vyombo vya muziki waliondoa vyombo vyao.
Sababu ya kuondolewa vyombo hivyo ni kwamba muda wao wa wenye vyombo ulikuwa umeisha, hivyo mashabiki wakamtaka aimbe hivyo hivyo bila vyombo na hapo Diamondi akapatwa na hasira na kuamua yeye na wacheza shoo wake kumrukia mwandishi wa habari anayejulikana kwa jina Godwin Francis na kumpiga.

No comments:
Post a Comment