Tuesday, 28 February 2012

KWA NINI KAZI YA MABOX INADHARAULIKA?????



Kazi ya mabox inadharaulika sana,inaonekana kuwa ni kazi ya aibu,nchi zilizoendelea zina heshimu kazi ya aina yoyote ,kazi ni kazi na mchagua jembe si mkulima,kazi hii ukiiheshimu na kuwa na mipango mizuri itakusidia sana, ifanye kwa malengo utaona matunda yake,tujaribu kuiga nchi zilizoendelea kwa kueshimu kazi na kuwaeshimu  wafanyaji wa kazi hizo na kwa wale ambao wako ughaibuni, fikilieni mshahara mnaopata na kulinganisha na kima cha chini cha mshahara wa nchi za afrika,kazi hii inaweza kukuendeleza kielimu na hata kimaisha (kupata ada ya shule  au  mtaji),na kikubwa zaidi kimaisha ni kujituma,malengo,mipango na n.k.
DUNIA NI KUJIFUNZA AU KUELIMISHANA, SIJUI MDAU UNASEMAJE?

No comments:

Post a Comment