Friday 2 March 2012

KUCHEZA NA KUFURAI KUKO PALEPALE HAIJALISHI HATA KAMA TUNAUMASKIN!!!

 Watoto wakicheza na kufurahi hata kama vifaa vyao sio vya kisasa lakini maisha yanaendelea.
Ni jukumu lako wewe mdau na mimi kusaidia sehemu kama hizi kwa vifaa vya kisasa, kutoa ni moyo sio utajiri,MDAUUU MWAKA 2012  TUNAOSHA MAJINA VIJIJI SIO KWENYE MABAA AU KWENYE  MABENDI!!!!

No comments:

Post a Comment