Thursday, 8 March 2012

MAUAJI YALIYOTOKEA MUSOMA 2010 NI CHUKI GANI AMBAYO MWANADAMU ANAKUWA KAMA MNYAMA?


KWANZA KABISA NAWAOMBENI RADHI WADAU KWA   KUWEKA TUKIO HILI LA 2010,BALI TUNAELIMISHANA WENGINE LABDA HAWAKUPATA NAFASI Y KUONA TUKIO HILO, SWALI KWA WADAU HII NI CHUKI GANI AU NIKISASI GANI AMBACHO  MWANADAMU ANAGEUKA KUWA KAMA NYAMA KWA WANADAMU WENZIE?

No comments:

Post a Comment