TATIZO LA UMEME NI KILIO KIKUBWA CHA AFRICA,NA LINI KITAKWISHA?
Kilio cha umeme kimetanda sehemu kubwa africa,na kilio iki kinategemewa na serikali ya nchi kutatua tatizo hili, lakini mpaka sasa ni karne 21 bado watu wanatumia vibatari au moto wa kuni kuangaza nyumba,na kama ili tatizo halina suluhisho kwanini serikali haiwasaidii wananchi kwa technology mpya ya SOLAR POWER? umeme unasaidia sana na kurahisisha mambo mengi ya ndani pia kibishara na n.k.UJUMBE KWA WADAU TUKISUBIRIA SERIKALI ITATUE SWALA HILI LITAENDELEA KUCHUKUA MUDA MREFU, MIMI NA WEWE TUTOLEE MACHO TECHNOLOGY mpya ya SOLAR na tukienda vijijini tumpeleke na kuwaelimisha wanakijiji kwani wewe ukikosa umeme siku moja unalalamika vipi wao tangu wazaliwe mpaka wanakufa vibatari na kuni ndio nishati yao!!!
No comments:
Post a Comment