Wednesday, 22 February 2012

MWANAMKE ALIYEFUMANIWA, KUPIGWA NA KUDHALILISHWA!WANAWAKE TULIJIFUNZA NINI?


Mwanadada aliyefumaniwa na mume wa mtu ,alipigwa na kudhalilishwa na mke  mwenye mume huyo,kitendo iki kilitokea mwaka jana,kutoka na kisa hiki wanawake tumejifunza nini?  je adhabu aliyopewa ilkuwa ni kukomesha hicho kitendo? DUNIA  NI KUJIFUNZA AU KUELIMISHANA,KAZI KWENU WADAU!!!!!

No comments:

Post a Comment