MWANAMKE PIGANA NA MAISHA HATA BODA BODA ENDESHA!!!
Kumekuwa na umaskini sana kwa akina mama pale wanapotelekezwa na waume zao na hawajui nini cha kufanya,Jiajili mwenyewe hata Boda Boda endesha ili mradi uweze kujikwamua na umaskini na kutatua matatizo ya watoto,USIOGOPE MWANA MAMA SI UNAONA PICHA !!!
No comments:
Post a Comment