Saturday, 31 March 2012

MZUNGU NDANI YA AFRICAN KITCHEN AKIWA KIKAZI ZAIDI!!!


Bwana Joseph kutoka German akiwa kama voulunteer wa BHCD,pichani akiaandaa mahanjumati au madikodiko ndani ya African kitchen  KIKAZI ZAID!!!!!!!! safi sana picha na bwana MESHACK MAGANGA

No comments:

Post a Comment