NANI KAMA MAMA? HAYA MUONE SEAN 'DIDDY' COMBS NA MAMA YAKE!!!!
Ni raha iliyoje pale unapowaona mama na mtoto wake wakifurai pamoja,Sean Diddy Combs na mama yake Janice Combs tunaona kwenye hizi picha wakila goodtime pamoja,MDAUUUU USIMSAHAU KUMPA MAMA BATA!!!
No comments:
Post a Comment