Friday, 20 April 2012

HALI KAMA HII TANZANIA ITAENDELEA: Wabunge wameikalia kooni Serikali kwa matumizi mabovu ya fedha za umma


Kwali hali kama hii ya wabunge kuja juu bila kuogopana wala kubebana Tanzania itakuwa na maendeleo mazuri sana.Wadau mkisikiliza hii video ndipo mtakapoona jinsi waheshimiwa wanavyokula mapesa ya wananchi na kusababisha umaskini ambao Tanzania unaweza kujikwamua, na kupunguza kuombaomba kwenye nchi zilizoendelea,SWALI KWA WADAU KUBEBANA KWA WAFUJAJI WA MAPESA YA WANANCHI UTAISHA LINI? 
                          VIDEO NA ITV TANZANIA

No comments:

Post a Comment