Thursday, 19 April 2012

"TUKUBALI AU TUKATAE "MARTIN KADINDA ANAJITAHIDI SANA KUWASWAGALISHA VIJANA NA STYLE YA SINLE BUTTON!!!!

                                                   MARTIN KADINDA




Pongezi kubwa sana Martin Kadinda na kwa ubunifu wa style ya SINGLE BUTTONS na kuwapendezesha vijana au wakaka ,changamoto ulioifanya ni faida kubwa kwa jamii kwa kuwapendezesha na kuwapa vijana wenye umri kama wako kuiga mfano wako wa ubunifu,
J2WISDOM inapenda kukupongeza sana kwa kazi unayoifanya kubwa kutokana na umri wako!!!!!!!!!!!!!!!
PICHA NA MARTIN KADINDA

No comments:

Post a Comment