Sunday, 22 April 2012

JE HUU NI UBINADAMU?

Nimeshindwa kuelewa hii picha ya huyu mtoto kwenye mnazi nani alimuweka mzazi wake?mlezi au ndugu? pia picha hii haijakaa kufurahisha jamii bali inaudhi na kuleta hasira  kwa sababu unajiuliza aliyemweka hapo mtoto na kumpiga picha alikuwa anajifurahisha au ana matatizo kidogo kichwani,walimwengu wanasema UCHUNGU WA MWANA AUJUAE MZAZI,na kama mzazi ndie aliyefanya kitendo hiki hana uchungu,picha hii nimeitoa facebook ndiko inakogalagala swali kwa wadau je HUU NI UBINADAMU KWELI?
                                                     
NIKILIPOTI KUTOKA J2WISDOM NI MIMI KHALOO WENU (mama mdogo)

No comments:

Post a Comment