Sunday, 22 April 2012

UZEE NI KUJIZEESHA MWENYEWE!!!!


Kweli tembea uone ya dunia watu wadai kuna uzee mbona bibi Cheka anaondoka na mapigo ya kisasa,  
kuanzaia mavazi mpaka uimbaji wake wa nyimbo za kisasa za kufoka (Rap)Bongoflava, Mzikii wa Bongoflava wanadai ni wakizazi kpya swali linakuja je bibi Cheka naye ni wa kizazi kipya? jibu ni hapana bali tu UZEE NI KUJIZEESHA MWENYEWE!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment