Msemaji wa serikali baadaye alisema mapigano yamekoma.
Mashambulizi yanaarifiwa kufanywa na waasi wa zamani waliopigana kumuondoa madarakani Kanali Gaddafi mwaka uliopita ambao wanadai malipo yao walioahidiwa kupewa kwa utaratibu wa maalum.
Watu wengi waliokuwemo katika jengo hilo walikimbia akiwemo Waziri wa Fedha na Naibu Waziri Mkuu.ENDELEA KUSOMA http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2012/05/120508_libya_new_fighting.shtml
No comments:
Post a Comment