Monday 9 July 2012

WANAVIJIJI WAKRISTO NIGERIA WAUWAWA!!!



Msemaji wa jeshi, Mustapha Salisu, alisema askari wa usalama walipigana vikali kwa saa kadha, na wale aliosema walikuwa washambuliaji wajuzi.
Alisema zaidi ya washambuliaji 20 waliuwawa.
Msemaji wa kikundi cha Wakristo alisema vijiji 13 vilishambuliwa.
chanzo:bbc

No comments:

Post a Comment