Msiba wa mama mpendwa Margreth silver Siame kilichotokea kihonda Morogoro,na misa ilifanyika katika kanisa la kilutel Tanzania(KKKT) Dioses ya Morogoro,Usharika wa Majengo Kihonda Morogoro.Ibada iliongozwa na Dean George Pindua,mkuu wa jimbo Morogoro mjini Reginald Makule,mchungaji kiongozi Simon Loko usharika wa majengo,mazishi yalifanyika makaburi ya Kola manispaa ya Morogoro.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE AMEN
1 comment: