MUIGIZAJI na mwimbaji machachari, Baby Madaha, amesema yupo katika harakati za kutaka kugombea ubunge ifikapo mwaka 2015.
Bila kuweka wazi kuwa ni jimbo gani atakalogombea, Madaha alisema amesukumwa kufanya hivyo baada ya kuona upande wa wanamuziki wakiwa tayari wamepata mwakilishi katika chombo hicho muhimu.
“Jamani tunamuona Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ hivi sasa anavyotetea wanamuziki bungeni, bado kuna Vicky Kamata; kuna Martha Mlata ambao wote linapokuja suala la maslahi ya wanamuziki kulitetea bungeni wanakuwa kitu kimoja sasa ni wakati wetu na wasanii wa filamu kuwa na mwakilishi wetu,” alisema dada huyo.
chanzo:daima

No comments:
Post a Comment