Tuesday, 18 December 2012

Bwana harusi aliyedhaniwa ameaga dunia afunga ndoa Mbeya

 Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akimvisha pete mkewe Magreth Mtebe 







Hii ndiyo ajali aliyopata bwana harusi Emmanueli aligongwa na gari aina ya Toyota GX 100  Emmanuel yeye alikuwa anaendesha pikipiki usiku wa kuamkia Jumamosi mida ya saa sita na nusu usiku alikuwa anaenda kwenye mkesha kanisani ndipo ajali hiyo ikatokea maeneo ya Mafiati Mbeya wengi wa mashuhuda hao walijua mwendesha pikipiki hiyo amekufa papo hapo.
chanzo: mbeya yetu

No comments:

Post a Comment