Thursday, 27 June 2013

Cheka na ushangae:kituko kutoka facebook

Phone call from USA:
Obama: habari yako kijana
Mkulu: safi mzee, shkamoo
Obama: Yule rais wa china alikuja kufanya nini huko kwako?
Mkulu: alikuja kuhutubia dunia mzee
Obama:hv ww ukoje, si nlishakukataza
tabia hzo, alikuja kuhutubia dunia
kivipi
Obama: kwani huko kwake hakunaga majukwaa?
Mkulu: sio hivyo mzee, unajua
aliniambia ata2jengea ukumbi mkubwa
wa mikutano na..
Obama: Yani huoni hata aibu
mmejitawala miaka 50 mnashindwa kujenga hata
ukumbi hadi msaidiwe, na naskia
alikupa mikataba mingi sana usaini,
ilikuwa inahusu nini?
Mkulu: dah, mzee hapo ndo tatizo sasa
maana yote imeandikwa kichina, ila naamini ni mambo mazuri
Obama: mambo mazuri kivipi, usikute
umeshauza vitu vyangu huko au vya
Bush bila kujua
Mkulu: Hapana mzee
Obama: mwezi ujao nakuja kukagua mipaka kule kigamboni, migodi yangu
na
mambo ya gesi nijue yanaendaje
maana naskia watu wanaandamana
Mkulu: sawa mzee, uniletee pesa
kidogo basi kuna bandari nataka kujenga hapa bagamoyo
Obama: sikupi hela, mwambie huyo
mchina akupe, kwanza unajenga
bandari ya nini wakati hiyo ya dar
imekushinda au ni mambo ya sifa
kujenga bandari kijijini kwako.??
!

No comments:

Post a Comment