NAMPONGEZA DADA ANGU Lady Jaydee KWA KUWA NA MOYO WA CHUMA NA MOYO USIOKATA TAMAA KWANI NI WANAWAKE WACHACHE AMBAO WANANGEWEZA KUKOMAA KAMA ALIVYOFANYA HUYU DADA, NAKUTAKIA MAISHA MAREFU NA WATANZANIA WAKUPENDA.TEAMANACONDA...
KAMA WEWE NI TEAM ANACONDA USIACHE KULIKE HAPA ILA KAMA WEWE NI BLAUZI FM USILIKE.
Nawashukuru Mashabiki wangu wote na wapenzi wa burudani kwa ujumla ambao walitumia muda wao kuja katika show ya miaka 13 katika gemu ya mwanadada Lady Jaydee pale NYUMBANI LOUNGE na kuwanyamazisha wasiopenda maendeleo ya wasanii nchini. Nawapenda Sana na Pia Asanteni..Zomea Waleee..Kuku kuku tuu Jogoo bata mzinga Jina.
AIBU YE2 AIBU YAO?? AIBU YA WENYEWE... TATU BILA TATU BILA, HEE! MPK SS BADO NI TATU BILA. HAPA JUMA HAPA DORO NDANI YA NYUMBANI LOUNGE...USICHEZE NA WATANZANIA NYIE..
Walipania hao, ahahhahahaaaa.. ujumbe uwafikie wale wote ambao walidhani mambo yasingeenda bila wao, haya zomea wale..
chanzo:https://www.facebook.com/pages/JUMA-NATURE/101112443384544?fref=ts
No comments:
Post a Comment