Tuesday, 4 June 2013

PICHA ZA WATANZANIA WAISHIO SOUTH AFRICA WAUAGA MWILI WA MREHEMU ALBERT MANGWEHA

Watanzania waishio nchini South Africa, wamepata nafasi ya kuuaga mwili wa mwanamuziki ALBERT MANGWEA aliefia nchini humo
Mwili wa Marehemu Ngwair utawasili kesho jijini Dar Es Salaam na kuagwa na fans, marafiki na ndugu katika viwanja vya leaders club, kinondoni kabla ya safari ya kwenda Morogoro, ambapo atazikwa huko karibu kabisa na kaburi la baba yake mzazi …
R.I.P Albert Mangweha.

No comments:

Post a Comment