Kwa kugundua umuhimu wa Afya na matatizo yanayowakabili ndugu zetu walio magerezani (WAFUNGWA)
ChingaOne blog na marafiki zake wanakualika kwenye kampeni ya
VAA KANDAMBILI
Ukiwa kama Ndugu, Rafiki wa karibu na Jamaa wa Wafungwa au ChingaOne blog
tunaomba mchango wako katika kampeni hii
Tunaomba msaada wa pea kuanzia moja ya Kandambili ili iweze kuwasaidia ndugu zetu
leo na kesho
Changia sasa! Changia leo!
kwani Afya ni haki ya kila mtu
kwa maelezo kuhusu kuchangia Kampeni hii tuandikie kwa barua pepe
chingaone @gmail.com
au piga simu kwa No.
0712221744
0787221744
0754798920
Afya ni haki ya watu wote
Asanteni Sana!
No comments:
Post a Comment