- how it feels ndani ya hiyo siku mhimu kabisa
unapofanyiwa kitu kizuri na cha pekee na mtu
mhimu maishani mwako,inapendeza siyo?hivyo ndivyo
nilivyojiskia siku ya jana baada ya
kufanyiwa suprise ya birthday party
na kipenzi changu,Penniel.
-
TIner Binamu Naanza na H.b.d pili hapo kwa penny wala ujafika. wema na wewe ndo mlipendezana. tatu penny hata sio mzuri tena kuvaa ajui kabisa. kwenye barthday ya mpnz ukavae kilemba kama upo mkoreni anataka kufunda mwali inausuhu...!! achana nae kitu wema wee diamond
-
-
Clarrissa Gabriela jamani watu acheni wivu wengine hata hamjui ladha ya mapenzi ndo maana kazi kumchagulia Diamond, Mapenzi hayachagui mtaongea sana, eti Penny kavaa Turban mnasema kilemba, acheni ushamba mbona Nancy Sumari anavaaga sana Turban au kwa sabu kavaa penny ndo mnaita kilemba? kapendeza kavaa kizungu. Mna wivu sana na nawaambia Mungu atapiga vibao na Negetive attitude yenu. eti wema angejaza kitanda kizima keki kwani hiyo keki ni chakula? alafu point zenu za kumsupport wema they dnt weigh coz u only tok of beauty money and fame, thats not what we call love. kwahiyo kama Penny hana uwezo wa kifedha mkubwa kama wema basi hafai, its love that matters, and he chose her. so mjipange. hongereni Diamond and Penny all the best in evrything you do.
-
TIner Binamu Maneno Wema ndo mpango mzima Diamond. wasio kupenda ndo wanataka ubaki na ilo Penny wanakupa ushauri mbaya.
-
-
Jesca Nagemi Jamani! Big up kw wooote mliomaliza !mimi sina cha kusema @Tiner Binamu,Zanura Ngullo,Justine,Rebecca,Betty Kamugisha,Emmanuel .Jamani ! Mmenikoshaje?? Ningekuwa nauwezo Ningewaita mje Uganda tu Celebrare kw comment zenu Nzuri ! WEMA MWANA WA SEPETU ND...See More
-
-
-
Zanura Ngullo kisi kwa shavu eti ni.mpenzi naye ?kitandani na misuti na.malemba .tobaaaaaa...yote hayo happy bad day to you .
-
-
Clarrissa Gabriela je mmeshawai kufikiria kama Wema asingekua na uwezo wa kifedha mkubwa angemuonyesha diamond mapenzi ya aina gani? maana kama mtu huna hela basi u dnt have anything to show off, alafu eti mtu unahongwa na mwanaume mwingine alafu unamfanyia mpenzi wako birthday kweli u call that True love ?? nyie mnaosupport ujinga wa show off za wema, we all have different values, maybe tu Penny is not a peoples or a crowd person, and Wema is a crowd person, they have got different personalities, Ya'l hating on Penny are just jelous coz u wish to be in her position, we know Women mnapenda Celebrities and ballers, as we all know Diamond is the in thing. Stop Dragging pennies name on mad, she will always come out clean, coz she ain't scandolous, like some losers, Ana adabu, and she is just herself.
-
-
Deman Yusuf hahahahah na familia nzima ikaingia chumbani kuangalia ulivyo andaliwa kitanda na mpenzio?????????????? Acheni Ushamba mtachekwa!
-
TIner Binamu Ndo tushasema na kumpangia kuwa arudiane na mrembo wetu mamaa Wema wa Sepetu. Hahahaha hapana chezeiyaa yeye mamaa kubwaaa.
-
-
Paulyne Peterz y r u people tryin to force someone to b wid a person dat he don't want...well i believe dat naseeb is mature enough to know wat suits him best so msimtie pressure.
-
-
-
Watende Mtati Daa mkwanja ndo kila kitu, iv mh, kabla hujawa supa* Ulikuwa unafanya sherehe ya kuzaliwa
-
Tele Homvye Namuomba mungu mpaka sasa ili mrudiane na Wema mtoto anayekufaaaa. Siyo huyo Penny hamuendani hata kidogo
-
-
-
-
-
-
Fey Kings HBD to you! then jaman mbona dada wa watu ni mzuri tu? au mnapenda mapenzi y promo? msipende kufananisha kifo na usingizi jamani thamani ya mtu hutoka moyoni na haitokani na alichonacho mfukoni! by the way Big up. kwako Penny manake ulichofanya si ili watu wakuone upo juu bali ni moyo wako umeridhia kufanya kadri ya uwezo wako!
-
-
-
Justine Chang'a MAMA DIA HAJATAJWA KABISA LEO, CJAPENDA. long live 4 u kaka coz you are special in music history of tz
-
Precious Litz ingekuwa wema ingekua bonge la bthdy tena ya historia ila hyo ya kawaida tu mrudie malkia sepetu kaka tunajua we ndo king bwana wema ndo mpango bwana pamoja na hayo happy birthday
-
Manka Kisoka ucckilize hao wanaokuchagulia mpnz, hawajui kipenda roho hula nyama mbich? Huyo huyo ucmwache wapambe na walie 2
-
Veronica Mhina Hatawazee wazaman walxemaga kaz na dawa ok,Penny walkuwepo kna kdot sepenga na weeeeeeng poa now Penny maremba hahahah.......Platinum jaman
-
TIner Binamu WEMA+DIAMOND= MAISHA MILELE, WEMA+DIAMOND= MAISHA DAIMA, WEMDIAMOND= WATARUDIANA SOON, WEMA+DIAMON= LOVE FOREVER WEMA+DIAMOND= MPAKA KIELEWEKE. Nyie ndo wapendanao
-
Khamisi Ahu Diamond jiangalie maana umependw kuptaa, dunia nzma inalia umrudie wema na nashangaa cnaga historia y kununua magazet lakn leo nlipoliona 2 "Aman" nlnunua chap tena mawil nkamnunulia na dem wang anampend xana diamond akw na wema...xo km kwel unataka um...See More
-
-
Rose Lwinga @diamond Platnumz;kma navokwambiaga vyovyote vile kwanza mshukuru Mungu,zidi kumuomba Mwenyezi Mungu ufike unapotaka kufikia zaidi ya ulipofikia,endeleza juhudi na maarifa,Katika haya maisha unawezakuzunguka huku na kule lakini Mungu ndie anaejua yupi...See More
-
-
-
-
-
Alliyo Igaly Hujalizimishwa fungua waweza acha na kusepa cz huwez pangia nafs ya mtu na kumpngia mtu wa kuwa nae hyo wema hujui kiundan tabia zake ukimuon kwa filam waona bnge la dame tabia zake mwazijua?bg up diamond nakkubal ww pia hta shem mwenyewe peny@wasafi 4 life
-
-
-
-
-
-
-
-
Sheby Claver dai lakin ww na pen hamwendan chombo wema banah huyo pen ka cgara kali hana mbele wala nyuma
-
Angel Msacky Km unampenda penny hebu achana na upande wa pili maana hatuelewi mara umerudiana na x wako
-
-
-
-
Chris Robinhood Christian Mapenzi c uzuri wala kuvaa nyie wakina dada kipenda choroho bhana yan diomond kama unampenda penny na anakupenda komaa nae
-
-
Irene Rashidi hahahaa yooote mmemaliza,mnenifurahishajee xaxa.. na picha zao ka wanalazimishana kupiga hata chemstry haionekani tehetehee.. usituwekeage huyo mtu humu bwana khaaa mwache huko huko blogin wanaotaka watamfata
-
-
-
-
-
Bibisha Mt Lakini nikiangalia huyo penny amwendani hata kidogo wema ndo alikuwa mpango mzima wema alikuwa anakupenda kwazati, na kama kweli mungu anasikia kilio cha mashabiki ipo siku mapenzi yatarudia upya na huyo cha bufupi atabakia analia kila siku
-
Bibisha Mt Leo mie nilisoma gazeti eti wema na diamond wanarudiana sasa kwa hali hii, naona kama hile gazeti ni ya uongo
-
-
-
-
Halima Mbwego Wema na diamond nilipenda mapenzi yao kwa kweli walikuwa sambamba walinoga jama lazima tucfie kwa kile tulichokiona kwa mpenzi wetu mwenye sauti ya kuliwaza.cup safi.
-
Joshua Sabasi Mambulula nyie mnashoboka 2 mara penny mara wema mmekosa kazi ya kufanya cio acheni ubwege.
-
-
-
-
-
-
Priston Dzombo Tafadhali platnumz soma comments za fans wako, naona wema ana kura nyingi hapa, fikiria jambo hili kisha ukirudi mombasa tafadhali mlete wema na wewe plzzz...
-
Annie Shija yap kafanya kawaida sanaaaa cjui sepe2 angefunikaje na ma2c yake??yaan na hilo lemba ndo kajharbia kabsa mpondeni bhana,mwenzao wema bday yake ilifanyika china Tz tuliishia kuwish 2
-
Yusuph Sulyeman kweli kuna wa2 wasenge cjapata ona....eti ooohhh peniel mbaya we mama ako mzuri? ujiuliz baba ako kampendea nini?........mwanamke tabia co kujua kuvaa viwalo na kujipodoa.......xo mjipange nyie wehu
-
Beni Keneth Acheni ushamba mapenzi sio sura wala mavazi mapenzi tabia ya mtu, eti kwa kuwa mzuri bac anafaa sio kila king'aacho ni dhahabu hata akiwa malaya bac anafaa acheni hizo, endelea na penny dogo mapenzi tabia , happy birthday dogo bigup nakukubali sana hizo ni chuki za watu wasiokuwanacho
-
-
-
-
Gasper Philipo xina chakuxapoti coz unajixkia uki2miwa coment huzijibu xjui unajichukuliaje angalia hapo ulipo alikuwepo mr nice xaxa yuko wapi?jipange punguza maxhauz mtoto wakiume wewe toen malemba yenu kama mko mxiban
-
Anifa Suleiman Hongera mdogo wangu,lakini je unatumia condom?maana mm nawajua vizuri mademu wako wote ni vicheche.kuwa makini sana
-
-
Nipashe Udaku washarudiana hehehehe akilala na penny anamuwaza wema yaani penny ananguvu coz mama anampenda so inabidi naseeb amridhishe mama yake

- Nipashe Udaku washarudiana hehehehe akilala na penny anamuwaza wema yaani penny ananguvu coz mama anampenda so inabidi naseeb amridhishe mama yake
No comments:
Post a Comment