Tabia ya abiria kuwalalia wenzao kwenye mabasi inachosha pia ni mzigo!!!
Tabia ya baadhi ya abiria kuwalalia abilia wenzao kwenye mabasi inachosha pia inakuwa mzigo mkubwa kwa mtu aliyeegemewa,Utamkuta mtu kalala kajiachia utafikili yuko kwenye SITA KWA SITA shurti udenda unamtoka
No comments:
Post a Comment