Tuesday 22 October 2013

Ujumbe: Wanawake chukueni hatua kwa vitendo vya unyama kama huu.



Vitendo vya ukatili wa kijinsia viko vingi na vya aina tofauti tofauti. Kuna wanawake wengine wanafanyiwa vitendo hivi bila kujua kuwa ni kinyume cha sheria na taratibu zilizopo. Sikiliza kisa hiki ambacho sisi tunakiona kama ni sehemu ya ukatili unaofanywa na wanaume wengi kwa wanawake wao. Bi Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Dodoma ni mmoja wa wanawake waliokutwa na mkasa wa kulazimishwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

No comments:

Post a Comment