Saturday, 21 May 2011

DR. SLAA AKUTANA NA WANAFUNZI.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Msingi Buhongwa wilayani Makete, mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara, ikiwa ni sehemu ya ziara za chama hicho juzi.

No comments:

Post a Comment